Kituku kituo kikuu cha biashara kwa Kivu Kaskazini na Kivu Kusini

  • | VOA Swahili
    62 views
    Video hii imechukuliwa katika soko la Kituku liliyopo kwenye bandari ndogo ambayo inapokea wafanya biashara wengi na wakulima kutoka kwenye vijiji mbali mbali huko Kivu Kaskazini na Kivu Kusini. Kati yao ni wafanyabiashara wa mkaa na watu wanao fika bandarini kwa kutumia boti wakitoka vijijini na wengine wakiondoka kwenda vijijini ambako wanafuata mazao ya chakula, boti zote wanazotumia zote zimetengenezwa kwa mbao. Boti hizi hubeba mkaa, ndizi, mbuzi na vitu vingine kuja Goma ambako kuna maelfu ya watu wanaopitia hali ngumu ya kimaisha. #goma #kivukaskazini #jimbo #waasi #m23 #raia #makombora #sake #gavana #cirimwani #mejajenerali #voa #voaswahili #milimayasake #austeremalivika