- 247 viewsDuration: 3:29Mahakama ya juu imetoa onyo kali kwa waziri wa afya Aden Duale, kwa kukaidi maagizo ya mahakama. Duale anakabiliwa na adabu ya kifungo cha nje kuhusiana na ujenzi wa kituo cha kuwashughulikia wagonjwa wa Ebola kwenye kambi ya wanahewa ya Laikipia.Hii leo Duale alifika mbele ya jaji Patricia Nyaundi akitaka kuondolewa mbali kwa madai hayo ya kukaidi mahakama dhidi yake akisema alikuwa amewaagiza wakandarasi kusitisha ujenzi wa kituo hicho cha matibabu na kusubiri kusikizwa na kuamuliwa kwa kesi hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive