Kiu Ya Elimu: Mvulana wa gredi ya 5 asomea chini ya taa ya mlingoti Turkana

  • | Citizen TV
    655 views

    Huku ukosefu wa umeme ukizidi kutatiza masomo katika kaunti ya Turkana, Mvulana mmoja wa gredi ya tano aligonga vichw avya habari kwa kunaswa kwenye video akisomea chini ya mlingoti wa umeme sokoni. Kijana huyo amekuwa akitembea kilomita mbili kisa siku usiku hadi kwenye mlingoti huo ili aweze kudurusu vitabu vyake.Cheboit Emmanuel alikutana na kijana huyo, Peter Losike na kuandaa taarifa ifuatayo.