Kivutio cha 'Great Wall' Uchina

  • | Citizen TV
    709 views

    Ukuta wa the Great Wall ni mojawapo wa kivutio cha kitalii mjini Beijing Uchina na duniani. Ukuta wa kwanza ulijengwa karne ya 7 na mfalme wa kwanza nchini humo madhumuni yake yakiwa kuilinda uchina dhidi ya mashambulizi ila sasa ukuta huo ndio mkubwa na mrefu zaidi duniani ukiwa na zaidi ya kilomita 21,000. Mwanahabari Francis Mtalaki alizuru ukuta huo ambao umeendelea kuwa kivutio cha zaidi ya watalii milioni 10 kila mwaka.