Kizaaza cha wagombea wenza katika Azimio na Kenya Kwanza

  • | K24 Video
    242 views

    Shinikizo katika muungano wa Kenya Kwanza la kumtaka naibu rais William Ruto kumteua mbunge wa Mathira Rigathi Gachagua kuwa naibu wake linaongezeka sambamba na lile linalomkabili kinara wa Azimio Raila Odinga. Pande tofauti kutegemea na ukereketwa au eneo analotoka anayependekezwa zimekuwa zikiendeleza utengezaji ngoma na kila avutaye ngozi basi anavutia upande wake.