Kizaazaa cha Wiper katika muungano wa Azimio One Kenya

  • | K24 Video
    211 views

    Chama cha Wiper kinamtaka kinara wao Kalonzo Musyoka kusalia ndani muungano wa Azimio. Chama hicho kinadai kuwa mazunguzumzo yanaendelea na kuwa chama hicho kina mengi ya kujivunia ndani ya muungano wa Azimio One Kenya kuliko muungano mwingine tena kama wagombea wa chama hicho wanakabiliwa na tishio la kugharamia hasara ya uchapishaji wa vifaa vya kampeni iwapo Kalonzo atagura Azimio.