Skip to main content
Skip to main content

Kizaazaa chashuhudiwa katika mkutano wa usalama

  • | Citizen TV
    860 views
    Duration: 2:13
    Kizaaza kilishuhudiwa baadaya maafisa wa kukabiliana na ghasiai, maafisa wa wizara ya ardhi Narok na maafisa katika ofisi ya naibu kamishna wa Narok kusini kulazimika kukimbilia usalama wao baada ya wakaazi wenye hamaki kutibua mkutano uliolenga kutekeleza amri ya korti ya kugaanya ardhi ya kijiji cha Enoosagami wadi ya Melelo, Narok kusini.