Skip to main content
Skip to main content

Kizaazaa chatanda uchaguzi mdogo wa Ol Kalou

  • | Citizen TV
    11,264 views
    Duration: 3:38
    Jioni ya leo tunaanza taarifa zetu kutoka eneo bunge la Ol Kalou, Kaunti ya Nyandarua, ambako kizaazaa na taharuki vimeshuhudiwa wakati wa uchaguzi mdogo wa ubunge uliofanyika hii leo. Watu waliojihami na kufunika nyuso zao walikabiliana na wakaazi huku zoezi la upigaji kura likiendelea. Katika vurugu hizo, wanahabari wawili walijeruhiwa.