Kizazi kipya cha wachekeshaji Tanzania

  • | BBC Swahili
    396 views
    Kucheka ni jambo la muhimu sana, na hapa Tanzania, tasnia ya ucheshi inapata nguvu mpya na kasi ya kipekee. Kizazi kipya cha watumbuizaji kinaingia jukwaani, kikiwa na dhamira ya kugeuza shauku yao kuwa taaluma ya kudumu. Mwandishi wa BBC Elizabeth Kazibure anatueleza zaidi kuhusu tasnia hii inayozidi kuimarika pamoja na changamoto zinazowakabili. #bbcswahili #tanzania #ucheshi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw