KMPDU imetangaza kuwepo mgomo wa Madaktari kaunti ya Vihiga

  • | West TV
    198 views
    Muungano wa madaktari nchini kmpdu umetoa ilani ya mgomo kuanza siku saba zijazo iwapo maswala yao yakiwemo mazingira mabovu ya kazi na kupandishwa ngazi madaktari waliohitumu hayatakua yametimizwa Uamuzi huu unajiri baada ya kikao kilichoratibiwa kati yao na gavana wa kaunti hiyo wilber otichillo kukosa kufanyika