“Piganeni hadi Kenya iwe huru”

  • | BBC Swahili
    907 views
    Tamthilia ya Ngugi Wa Thiong’o ya ‘kimapinduzi’ yafufuliwa baada ya miaka 50 kwenye ukumbi wa kitaifa wa maonyesho ya tamthilia jijini Nairobi. Tamthilia hiyo, “Kesi ya Dedan Kimathi’ inaangazia kesi na hukumu ya kamanda wa kundi la kupigania uhuru wa Kenya MAU MAU na inaangazia mada tofauti ikiwemo ukatili wa polisi na mgawanyiko wa kikabila #bbcswahili #filamu #kenya #haki #riwayatpuasa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw