Vita vya meneno kati ya Marekani na Iran

  • | BBC Swahili
    4,427 views
    Baada ya vitisho vya Rais wa Marekani Donald Trump kuishinikiza Iran kutia saini mkataba wa kudhibiti silaha za kinyuklia au watakiona cha mtema kuni. Iran imessisitiza haitishiki na itakabiliana kufa kupona kujilinda na uhuru wake wa taifa. Trump naye anaashiria kwamba huenda akajitosa uwanjani na kumsaidia Israel kupambana na Iran. Hatua hii akiichukuwa Rais Trump, itakuw ana athari gani kwa usalama wa mashariki ya kati? @RoncliffeOdit atachambua hili kwa kina katiaDira ya Dunia TV mubashara katika ukurasa wa YouTube BBC Swahili #bbcswahili #diratv #iran #israel #silaha #nyuklia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw