KNBS: Vifo vingi vya kina mama wajawazito hutokea saa 48 baada ya kujifungua

  • | NTV Video
    156 views

    Kutokwa na damu zaidi ndio chanzo kikuu cha vifo vya kina mama wanapojifungua pamoja na watoto wao, huku ripoti ya KNBS ikisema vifo vingi hutokea saa 48 baada ya mama kujifungua.