5 Dec 2025 7:19 pm | Citizen TV 271 views Tume ya kitaifa kuhusu haki za binadamu - KNCHR - imemtaka Rais William Ruto na wabunge kuonyesha nia njema ya kisiasa na kubuni mikakati ya kuwafidia waathiriwa wa ghasia zilizotokea wakati wa maandamano.