Komesha ukatili wa jinsia, wawakilishi wa kike katika kaunti 10 wasema

  • | NTV Video
    42 views

    Wawakilishi wa kike katika kaunti kumi nchini wameungana na kutoa wito kwa hatua madhubuti kuchukuliwa dhidi ya ukatili wa kijinsia, mimba za mapema na mauaji ya wanawake yanayozidi kushuhudiwa kote nchini.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya