- 129 viewsDuration: 3:26Juhudi za kulinda miundo msingi ya kanda hii na mali ya umma dhidi ya vitisho vya ugaidi ziliangaziwa leo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa tano wa Nairobi kuhusu ulinzi wa miundo msingi ulipofunguliwa rasmi jijini Nairobi.Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi,aliyeongoza ufunguzi wa mkutano huo wa siku mbili wa ngazi za juu alizihimiza nchi za kanda hii na washirika wa kimataifa kushirikiana katika uwezo wao wa kukabiliana na vitisho ibuka.Wajumbe mia mbili kutoka mataifa 24 pamoja na mashirika ya kimataifa yakiwemo ya umoja wa mataifa wanahudhuria mkutano huo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News