Skip to main content
Skip to main content

Kongamano La COMESA | Kenya yahimiza mataifa wanachama kukumbatia Akili Mnemba

  • | KBC Video
    81 views
    Duration: 1:56
    Kenya inapendekeza matumizi ya mifumo ya kidijitali ya biashara kwenye mataifa wanachama wa shirika la COMESA wakati inapojiandaa kuchukua wadhifa wa mwenyekiti wa shirika hilo linalojumuisha mataifa ya Afrika Mashariki na Kusini. Naibu rais Profesa Kithure Kindiki anasema kuwa kwa kuweka huduma za unakili stakabadhi, malipo na mipango kwenye mfumo wa kidijitali, shirika la COMESA litapunguza gharama ya biashara kwa angalao asilimia 30. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive