Skip to main content
Skip to main content

Kongamano la kimataifa kuimarisha uhusiano Afrika

  • | Citizen TV
    260 views
    Duration: 2:52
    Kongamano hilo litakaloanza kesho na kuwajumuisha zaidi ya wajumbe elfu tatu linatarajiwa kuimarisha uhusiano mpya kati ya Afrika na washirika wa kimataifa. Mataifa ya Afrika yanatarajiwa kuafikia ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji kupitia mkutano huo. Hata hivyo, mashirika ya kijamii yamehoji ari na nia ya mataifa yanayoshiriki kongamano hilo.