Skip to main content
Skip to main content

Kongamano la kukabiliana na uhaba wa chakula barani Afrika limeng'oa nanga huko Mombasa

  • | Citizen TV
    134 views
    Duration: 1:25
    Kongamano la kukabiliana na uhaba wa chakula barani Afrika limeng'oa nanga huko mombasa. Wajumbe kutoka bara afrika wameitaka serikali kuwekeza katika mashine na vifaa vya kisasa vya kilimo ili kuongeza mazao ya chakula hasa katika maeneo kame. Kulingana nao, ushirikiano na wakulima kupokea mikopo kupitia serikali na taasisi za utoaji mikopo zitasaidia kuongeza uzalishaji wa chakula na kukabiliana na baa la njaa.