Kongamano la pili la AFCFTA lafanyika Kigali, Rwanda

  • | Citizen TV
    115 views

    Kongamano la pili la kibiashara barani Afrika la AfCFTA limeandaliwa jijini Kigali Rwanda, huku makubaliano kadhaa ya kibiashara yakitarajiwa kutiwa sahini. Katika siku ya kwanza ya kongamano hilo kwa jina Biashara Afrika 2024,