Skip to main content
Skip to main content

Kongamano la siku mbili la wahariri lafanyika Nairobi

  • | Citizen TV
    338 views
    Duration: 1:49
    Kongamano la siku mbili la wahariri barani Afrika limeanza rasmi jijini Nairobi. Maswala yanayohusu uhuru wa wanahabari, matumizi ya teknolojia ya akili unde pamoja na mbinu za kufadhili shughuli za wanahabari yalijadiliwa kwa kina.