Kongamano la ugatuzi la kila mwaka laandaliwa mjini Eldoret

  • | Citizen TV
    277 views

    Maandalizi ya kongamano la Ugatuzi yanaendelea mjini eldoret kaunti ya Uasin Gishu. Kongamano hilo linafanyika kwa mara ya kwanza katika eneo hili huku zaidi ya wajumbe elfu 15 wakitarajiwa kuhudhuria mkutano huo wa siku 3.