Kongamano la waathiriwa na vijana linaendelea , Ufungamano house, Nairobi

  • | Citizen TV
    1,805 views

    Kongamano la waathiriwa na vijana linaendelea KATIKA jumba mfangano hapa jijini nairobi ambapo waandamanaji wale waliotekwa nyara wanasimulia madhila waliyopitia mikononi mwa polisi waliowateka nyara.