Koskei awahimiza Wakenya kupanda miche

  • | KBC Video
    4 views

    Mkuu wa utumishi wa umma Felix Koskei ametoa wito kwa wakenya kuunga mkono agizo la rais la kupanda miti bilioni 15 katika miaka kumi ijayo, katika juhudi za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi yanayoshuhudiwa hapa nchini. Koskei ambaye alikuwa akizungumza wakati wa shughuli ya upanzi wa miti katika msitu wa Chepalungu kaunti ya Bomet wakati wa maadhimisho ya siku ya hali ya jangwa na ukame duniani, alisisitiza haja ya kuongeza eneo la misitu kwa kuhifadhi ardhi iliyoharibiwa na kukumbatia misitu, hatua ambayo itahifadhi mfumo wa ikolojia.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive