Kudorora kwa sarafu ya kenya dhidi ya sarafu ya Uganda unavyoathiri biashara mpakani

  • | West TV
    85 views
    Kuendelea kudorora kwa thamani ya shilingi ya kenya kunaendelea kuathiri biashara nyingi nchini hasa za mpakani, biashara nyingi zikididimia na zingine zikifungwa. Jeremy omondi amekua mpakani malaba kutathmini athari za udhaifu wa shilingi ya kenya kwa uchumi wa malaba.