Kufikia sasa watu 120 wameangamia kutokana na mafuriko

  • | KBC Video
    38 views

    Idadi ya familia zilizoathiriwa na mafuriko yanayoendelea humu nchini imeongezeka hadi 93, 432. Hatibu wa serikali, Isaack Mwaura amesema kwamba serikali imeimarisha mikakati ya kusaidia kaunti zote zilizoathiriwa huku mchipuko wa magonjwa kama vile malaria na kipindupindu ukianza kunakiliwa. Wakati huo huo, familia za waliofariki baada ya kusombwa na mafuriko katika mto Muuoni katika kaunti ya Makueni walimiminika katika chumba cha kuhifadhi maiti cha Mutomo huko Kitui wakiwa na matumaini ya kutambua mili ya jamaa yao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News