- 31,391 viewsDuration: 4:53Zoezi la kuhesabu kura linaendelea katika eneo bunge la Ol Kalou, ambako wakazi walishiriki uchaguzi mdogo wa ubunge. Maafisa wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), pamoja na mawakala wa wagombea, wanaendelea na zoezi hilo katika Shule ya Msingi ya Ol Kalou. Sasa tunajiunga na mwanahabari wetu Emmanuel Too Mubashara kutoka Ol Kalou.