Kumbukumbu ya ajali ya ndege ya Marsabit iliyotokea miaka 18 iliyopita

  • | KBC Video
    46 views

    Baadhi ya wakazi wa kaunti za Marsabit na Isiolo sasa wanaitaka serikali ya kitaifa na baraza la kitaifa la mashujaa kuwatambua waathiriwa wa ajali ya ndege ya Marsabit iliyotokea tarehe-10 mwezi Aprili mwaka 2006. Kundi hilo likiongozwa na viongozi wa vijana kutoka kaunti hizo mbili linataka waathiriwa hao watambuliwe kama mashujaa wa kitaifa. Watu kumi na wanne waliangamia kwenye ajali hiyo wakiwemo wabunge sita kutoka eneo hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News