Kumbukumbu za Joan Chelimo mke wa aliyekuwa kocha wa Kiptum

  • | Citizen TV
    3,315 views

    Joan Chelimo pamoja na mumewe ambaye alikuwa kocha wa marehemu Kelvin Kiptum, walikuwa wamepanga kumpeleka mtoto wao shuleni kwa mara ya kwanza siku ya Jumatatu.