Kumekuwa na wasiwasi kuhusu ongezeko la ugonjwa wa saratani kaunti ya Taita Taveta

  • | Citizen TV
    112 views

    Mikakati imeendelea kuwekwa kaunti ya Taita Taveta huku hofu ikiibuka upya kuhusu ongezeko la ugonjwa wa saratani.Takwimu kutoka idara ya afya kaunti ya Taita Taveta zikionyesha idadi ya wanaoathirika imeongezeka ikilinganisha na miaka miwili iliyopita. Keith simiyu anaungana nasi mubashara akiwa katika hospitali ya rufaa ya Moi mjini Voi kaunti ya Taita Taveta