- 178 viewsDuration: 1:36Ongezeko la matukio ya wizi, mauaji na uhalifu mwingine katika mji wa Kiserian kaunti ya Kajiado, limewachochea Maafisa wa serikali kuu na Ile ya kaunti kuandaa kikao cha usalama na wananchi ili kutafuta suluhu ya kumaliza uhalifu huo.