Skip to main content
Skip to main content

Kundi la tembo wakusanyika kula mabaki ya machungwa Zimbabwe

  • | BBC Swahili
    25,925 views
    Duration: 36s
    Tazama kundi la tembo wakikusanyika kula mabaki ya machungwa chini Zimbabwe. Wanyama pori wengine, wakiwemo nyani na nguruwe pori pia wanaonekana kujiunga nao baada ya shamba la michungwa lililo kando ya Mto Limpopo kuacha chakula hicho katika eneo la wazi. Mpiga picha wa wanyamapori, Janice Herlig, alirekodi moja ya matukio hayo ya kuvutia. Ulishaji huo hufanyika wakati wa msimu wa matunda, kuanzia Mei hadi Septemba kila mwaka, na unalenga kusaidia kupunguza migogoro kati ya binadamu na wanyamapori kwa kuwazuia wanyama kuvamia mashamba ya karibu. #bbcswahili #zimbabwe #wanyama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw