24 Nov 2025 10:46 am | Citizen TV 213 views Duration: 2:08 Kundi moja la vijana ambao ni wahudumu wa boda boda kutoka kaunti ya Kajiado wameanzisha kampeni ya kuelimisha na kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa kupanda miti kwa ajili ya kutunza mazingira.