Skip to main content
Skip to main content

Kundi la wanawake kutoka Kaunti ya Murang’a limeamua kuhamasisha wananchi kudumisha amani 2027

  • | Citizen TV
    124 views
    Huku joto la kisiasa likizidi kupanda taifa linapoelekea uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027, kundi la wanawake kutoka Kaunti ya Murang’a limeamua kuzunguka maeneo mbalimbali kuhamasisha wananchi kudumisha amani, mshikamano na utulivu.