Kundi la Women Peace Builders Umbrella lataka serikali kupa kipaumbele usalama wa wanawake na watoto

  • | KBC Video
    9 views

    Baadhi ya wanawake chini ya kundi la Women Peace Builders umbrella wanatoa wito kwa serikali za magatuzi pamoja na ile ya kitaifa na jamii kwa jumla kulipa kipaumbele suala la usalama kwa wanawake na watoto katika jamii. Kundi hilo limesema wanawake wengi ndio wanaokabiliwa na hatari za unyanyasaji wa kinyumbani, ndoa za mapema, ukeketaji, dhuluma kwa wazee pamoja na mila zilizopitwa na wakati.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #women