Waswahili husema uzee ni tunu. Ila kwa Wazee wengi, mara nyingi hujipata wakiwa pweke. Hata hivyo, ili kubadilisha simulizi hii, kundi moja huko Kariobangi limetenga siku ya kusherehekea, kuthamini na kurejesha heshima kwa wazee. Mwanahabari wetu Aaron Marie alihudhuria sherehe hizo na kutuandalia taarifa hiyo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive