Skip to main content
Skip to main content

Kunyeshewa mvua ni afya

  • | BBC Swahili
    10,704 views
    Duration: 2:07
    Unajua kutoka nje wakati mvua inanyesha kunaweza kuboresha afya yako? Hii ni kweli kabisa Ushahidi wa kisayansi unasema mvua inaweza kufanya akili yako iwe na furaha zaidi Watu wengi hukimbia mvua lakini ukweli ni kwamba mvua inaweza kuwa ‘tiba’ ya asili kabisa. Mwandishi wa BBC @beldeen__waliaula anakutajia faida 4 za kiafya za kutoka nje wakati wa mvua Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw