Skip to main content
Skip to main content

Kwa nini aina hizi 11 za saratani zinaangamiza sana vijana?

  • | BBC Swahili
    1,955 views
    Duration: 1:25
    Aina 11 za ugonjwa wa saratani zimeanza kuwaathiri vijana wengi nchini Uingereza. Ila kulingana na utafiti, watu wengi wanazidi kuwa na uzito mkubwa kupita kiasi, ila hili si hoja pekee. Je Chanzo haswa nini? Tazama makala hii Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw