Skip to main content
Skip to main content

Kwa nini baadhi ya samaki ni hatari kwa mama mjamzito?

  • | BBC Swahili
    618 views
    Duration: 3:48
    Lishe ni muhimu wakati wa ujauzito kwa mama na mtoto. Itasaidia mwanamke kukidhi mahitaji ya kimwili ya kuongezeka kwa ujauzito huku pia kusaidia ukuaji wa mtoto. Vyakula vya ujauzito vinapaswa kujumuisha usawa wa protini, wanga na mafuta. Hata hivyo, baadhi ya vyakula na vinywaji vinaweza kudhuru afya ya mwanamke mjamzito na mtoto wake ambaye hajazaliwa. Hebu tujifunze zaidi kuhusu vyakula vya kula na kuepuka kwa mimba yenye afya. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw