Kwa nini hatuwezi kutabiri matetemeko ya ardhi?

  • | BBC Swahili
    1,463 views
    Wanasayansi bado hawajaweza kupata ushahidi sahihi kuhusu wapi yatatokea, lini yatatokea au jinsi yanavyoweza kuwa na nguvu. #bbcswahili #tetemekolaardhi #japan Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw