Kwa nini safari kutoka Maralal kaunti ya Samburi hadi Nairobi hufanikishwa wakati wa usiku pekee

  • | Citizen TV
    641 views

    Mji wa Maralal ukiwa kitovu Cha Kaunti ya Samburu, safari za masafa marefu kutoka mji huo hadi Jiji kuu la Nairobi na lile la Nakuru hufanikishwa majira ya usiku pekee haswa kuanzia mida ya saa sita usiku. je ni Kwa nini?