- 12,474 viewsDuration: 2:51Waumini wa dini ya Kiislamu kote duniani baada ya kufunga siku nzima, wengi wao wakati wa jioni wanapofungua hula tende. Je kwanini huanza na tende? @ahmedbahajjofficial anaelezea #bbcswahili #ramadhani #afya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw