Skip to main content
Skip to main content

Kwa nini upinde wa mvua unaonekana tofauti kwa kila mtu

  • | BBC Swahili
    5,315 views
    Duration: 49s
    Upinde wa mvua unaouona daima utakuwa tofauti na ule rafiki yako anaouona, hata kama amesimama karibu na wewe. Na hii ndiyo sababu #bbcswahili #haliyahewa #upindewamvua Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw