“Kwa sasa wasanii wengi hawazingatii misingi ya uandishi”

  • | BBC Swahili
    1,196 views
    Msanii mkongwe wa bongo fleva Ferooz Mrisho ameiambia BBC kuwa muziki wa sasa haudumu sana kutokana na aina ya uandishi wa sasa Feroz ambaye alivuma na vibao kama Kamanda, Starehe na Barua anasema ni vyema wasanii wakawekeza vyema kipindi wanapopata nafasi kwani hawatasalia kileleni milele. @eagansalla_gifted_sounds_ amezungumza naye na kuandaa taarifa hii #bbcswahili #tanzania #nyotawafrikamashariki