Kwaheri Bernard Ndungu Njenga

  • | Citizen TV
    815 views

    Huzuni na majonzi iligubika kijiji cha Kibathi kaunti ya Nyandarua pale familia, marafiki na jamii ya Royal Media Services walipojumuika kwa mazishi ya mfanyikazi wa kampuni hiyo kwa miaka mingi Bernard Ndungu Njenga.