- 62,447 viewsDuration: 1:40Kwanini Afrika iliishangilia Mexico dhidi ya Afrika Kusini katika mechi ya Kombe la Dunia? Baadhi ya mashabiki barani Afrika waliamua kuishangilia Mexico dhidi ya Afrika Kusini (Bafana Bafana) katika mechi ya ufunguzi ya Kombe la Dunia 2026 kama njia ya kupinga chuki na mashambulizi ya kibaguzi dhidi ya wageni. Je, michezo inapaswa kutenganishwa na siasa na migogoro ya kijamii au haya ndiyo matokeo ya kile kinachoendelea Kusini? #bbcswahili #mexico #afrikakusini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw