Kwanini Luis Suarez anapenda kung'ata wachezaji wenzake?

  • | BBC Swahili
    2,570 views
    Luis Suarez hivi majuzi alijaribu kumng’ata mchezaji mwenzake wakati wa mechi ya ligi kuu ya soka nchini Marekani ila alijizuia alipogundua kuwa aliyelenga kumng'ata alikuwa mchezaji wa timu yake, Jodi Alba. Yamkini, hii si mara ya kwanza Suarez kumng'ata mchezaji mwengine kati kati ya mechi ,ana historia ndefu ya vitendo vya ng'atang'ata… Je amewang'ata wachezaji wangapi tangu aanze kucheza soka? Ahmed Bahajj anatuarifu #bbcswahili #LuisSuarez #Kandanda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw