Skip to main content
Skip to main content

Kwanini Marekani imemuwekea vikwazo Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Tanzania

  • | BBC Swahili
    86,891 views
    Duration: 2:30
    Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imemuwekea vikwazo Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi nchini Tanzania, Faustine Jackson Mafwele kuingia nchini Marekani. Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio imesema kwa kuzingatia taarifa zinazoaminika, Mafwele alihusika katika ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Mwandishi wa BBC @frankmavura na taarifa zaidi #bbcswahili #tanzania #MAREKANI Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw