Skip to main content
Skip to main content

Kwanini vuguvugu la Gen Z si la Tanzania peke yake?

  • | BBC Swahili
    30,580 views
    Duration: 8:06
    Maandamano yaliyoambatana na vurugu wakati wa uchaguzi mkuu nchini Tanzania mwaka huu hayakuwa tukio la kipekee, Mataifa mengine pia yalipitia hali kama hiyo . Mwandishi wa BBC, Sammy Awami, anaangazia mizizi ya maandamano hayo katika nchi mbalimbali. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw