Kwanini wanawake hawawezi kuwa Mapapa kanisa Katoliki?

  • | BBC Swahili
    15,049 views
    Kufuatia kifo cha Papa Francis, kiongozi wa Wakristo wa Kanisa Katoliki, mchakato wa kumchagua papa mpya unakaribia kuanza. Lakini kulingana na Ukristo wa Kikatoliki, wanaume pekee wanaweza kuwa Papa. Kwanini, ni wanaume pekee wanaoweza kuwa papa au padri kanisani? @frankmavura #bbcswahili #vatikani #katoliki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw